28/08/2026
We are wishing you a HAPPY BIRTHDAY MY WETU, our top fan LISAH🥳🥳
Urembo ni k**a anaogeshwa maji ya mdalasini, rangi ni ya basimati, luku ni clean 🫧
Sisi bila huyu tuko bure, hatujiwezi kabisaa, the leader of our SHE-MALE department. Mungu bariki ile timu ya kutegea jezi za kupewa tournaments na k**a huyu 😂
Ishi miaka mingi, maisha bila msongo wa mawazo, bila mridimo wa damu na maisha bila maradhi dadaetu.
ELMONI PARAGUIIII, KHABUSIIEE!
Lisah