Kibuyuni stars fc

Kibuyuni stars fc Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kibuyuni stars fc, Sports Team, Kibuyuni, Shimoni.

+3 alhamdulillah
07/06/2026

+3 alhamdulillah

SIKU YA MECHIKIBUYUNI STARS V/S MIKINDANI FC🏟 tswaka primary 2⏲️ 3:00pm
07/06/2026

SIKU YA MECHI
KIBUYUNI STARS V/S MIKINDANI FC
🏟 tswaka primary 2
⏲️ 3:00pm

Eid Mubarak! 🌙✨Klabu ya Kibuyuni Stars tunawatakia mashabiki na wapenzi wetu wote Idd njema iliyojaa furaha, amani na ba...
27/05/2026

Eid Mubarak! 🌙✨
Klabu ya Kibuyuni Stars tunawatakia mashabiki na wapenzi wetu wote Idd njema iliyojaa furaha, amani na baraka tele. Asanteni kwa sapoti yenu isiyoisha—pamoja tunaendelea kusonga mbele! 💙⚽

Tunawataarifu mashabiki na wapenzi wa Kibuyuni Stars FC kuwa shujaa wetu, Muzamil Jabiri , ameachana rasmi na klabu ili ...
22/05/2026

Tunawataarifu mashabiki na wapenzi wa Kibuyuni Stars FC kuwa shujaa wetu, Muzamil Jabiri , ameachana rasmi na klabu ili kujiunga na Wayzata Boys FC . Ametuachia kumbukumbu kubwa baada ya kucheza mechi 4 kwenye Coast Regional League na kufunga magoli 6 akiwa na jezi yetu.
Asante kwa moyo, juhudi na heshima uliyoonyesha kila ulipokuwa uwanjani. Tunakuombea kila la kheri katika safari yako mpya—enda ukaangaze zaidi, fahari yetu ipo pamoja nawe.
Asante champ… utabaki kuwa sehemu ya historia yetu! 💙⚽??

SIKU YA MECHIVS KOMBOA FCtswaka primary ground 3p.mTunaenda kupambania alama tatu tukiwa nyumbani
16/05/2026

SIKU YA MECHI
VS KOMBOA FC
tswaka primary ground
3p.m
Tunaenda kupambania alama tatu tukiwa nyumbani

Next battle tunaenda kupambania alama tatu nyumbani.Usibaki nyumbani fika ground tuipe team yetu support.
13/05/2026

Next battle tunaenda kupambania alama tatu nyumbani.
Usibaki nyumbani fika ground tuipe team yetu support.

Wapendwa mashabiki wa Kibuyuni Stars,Tunapenda kuwajulisha kuwa mchezo wetu wa leo dhidi ya Kishada umehairishwa kutokan...
10/05/2026

Wapendwa mashabiki wa Kibuyuni Stars,
Tunapenda kuwajulisha kuwa mchezo wetu wa leo dhidi ya Kishada umehairishwa kutokana na sababu zisizoepukika. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na tutawajulisha tarehe mpya ya mchezo mapema iwezekanavyo.
Asanteni kwa kuendelea kutuunga mkono.

+3 alhamdulillah mnara wa 5G umesimamafull time results Kibuyuni stars 5-0 TUM Juniors FC  hawa ni k**a kina mwanatumu.4...
03/05/2026

+3 alhamdulillah mnara wa 5G umesimama
full time results Kibuyuni stars 5-0 TUM Juniors FC hawa ni k**a kina mwanatumu.
4 goals scored by muza jr
1 goal scored by roro

Siku ya mechi tunaenda kupambania alama tatu.
03/05/2026

Siku ya mechi tunaenda kupambania alama tatu.

A home defeatFull time results Kibuyuni stars 1-2 club fit we shall bounce back stronger
25/04/2026

A home defeat
Full time results Kibuyuni stars 1-2 club fit
we shall bounce back stronger

Address

Kibuyuni
Shimoni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kibuyuni stars fc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share