Mark autor

Mark autor our mission is to rise the. talent

15/06/2024

1kr spare parts on sale

23/05/2024
21/04/2024

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’MWANAMKE ANACHOTAKIWA KUFANYA MUME ASITOKE NJE YA NDOA.๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
โค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ

๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน

๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ขMapenzi yana kanuni zake, kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia. Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza lakini omba sana upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye naye anakupenda kwa dhati.๐Ÿ’Ÿ๐Ÿ’Ÿ๐Ÿ’Ÿ๐Ÿ’Ÿ

๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜Kwa bahati mbaya ukitokea kumzimikia mtu ambaye wala hana hata chembe za penzi kwako, utaumia sana na k**a utalazimisha kuwa naye, utakuwa unajitafutia vidonda vya tumbo๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž

โฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธHata hivyo, wapo waliobahatika kuwapata wapenzi wa ukweli lakini kwa kushindwa kwao kujua yapi ya kufanya ili kudumisha penzi, leo hii wameachika na bado wanaranda mtaani.๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž

โฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธKwa kifupi ni kwamba, unapoingia kwenye uhusiano na mtu na ukabaini naye anakupenda, hutakiwi kubweteka bali unatakiwa kutumia utundu na ubunifu wako katika yale ambayo yatamfanya huyo mtu wako ahisi wewe ni wa pekee kwake.๐Ÿ’Œ๐Ÿ’Œ

โœ๐ŸพNinapozungumzia hayo, namaanisha ubunifu kwenye mambo mengi ambayo hakika nikianza kuyaelezea hapa, nafasi inaweza isitoshe ila kwa leo nigusie utundu katika uwanja wetu ulee wa kujidai๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹

โฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธFaragha ni eneo muhimu sana ambalo linaweza kubomoa au kuimarisha ndoa. Ninapozungumzia hilo, ni kwa wote yaani mke na mume๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž

โฃ๏ธโฃ๏ธMwanaume anatakiwa kumridhisha mkewe kwa kiwango kinachostahili. Kusiwepo mazingira ya kupeana mambo kiduchu kwani ikiwa hivyo lazima mke atakosa furaha iliyokamilika.๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž

โฃ๏ธโฃ๏ธIla sasa leo nataka niwazungumzie kwa kirefu wanawake. Kuna wanawake ambao wamebahatika kupata wanaume wanaowapenda sana na kuwapatia kila wanachohitaji.๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž

โฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธHawa wanatakiwa kujiona ni wenye bahati kubwa kwani kwa hali ilivyo sasa, wanawake wengi wanatafuta wanaume wa kuwaoa hawawapati.๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’

โฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธKinachonishangaza ni kwamba, *kuna baadhi ya wanawake ambao wako ndani ya ndoa lakini wamejisahau kwamba wana jukumu la kuwapa waume zao furaha ambazo hawawezi kuzipata kwingine.๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’

๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž

Send a message to learn more

YOU CAN DESTROYED MY NAME BUT NOT MY TALENT
03/04/2020

YOU CAN DESTROYED MY NAME BUT NOT MY TALENT

03/11/2019
my aim.is  2 achieve my goal
16/01/2015

my aim.is 2 achieve my goal

Address

Old Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mark autor posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share