23/08/2026
Unaweza kuwa uko na nia njema alafu dunia ifanye mambo yake.
Hii nguo nikipeana instructions nilisema weka kaslit kwa side ndo iwe rahisi kustep forward nisiteguke. Siku specify kaslit kakuwe hadi kwa knee juu intended purpose ni nguo ya Hekalu ya bwana
Shida ya fundi kujua wewe ni wa 🤣🤣 akaweka thigh high slit anachapa tu k**a kawaida.
Leo nimerauka nashanga rada???
Na hivyo ndo nimekaa bench singeweza kuserve ,lakini kanisani nayo nilienda k**a nimevaa. Huwezi notice hadi uangalie kwa makini na najua wanakandoo wana umakini sana
Sikutaka kuwapotosha nikichukua sadaka.
T for taff.
゚viralシ