Wicky mulamwah

Wicky mulamwah Commedy, sport news,reporter and blogger

Nilituma kimakosa 200K kwa nambari isiyo sahihi.Baada ya kuwaza namna ya kumzuia asitoe hizo pesa, nikapata idea ya kumt...
11/04/2026

Nilituma kimakosa 200K kwa nambari isiyo sahihi.
Baada ya kuwaza namna ya kumzuia asitoe hizo pesa, nikapata idea ya kumtumia SMS nikisema:
“Sasa dark initiate mwenye umechaguliwa, natumai uko poa. Naam, naamini umepokea pesa nilizokutumia…
Hizo ni za transport ya initiation yako ya kujiunga na Illuminati pamoja na order ya satanism ya milele, inayofanyika kesho saa sita usiku. Hiyo pesa ni fare tu.
Nitakutumia ingine ya shopping. Kuna utajiri mkubwa unakusubiri kwa huu ufalme. Wiki mbili baada ya initiation, mtu wa familia ambaye uko karibu naye sana atakufa, na hiyo ndiyo itafungua mlango wa utajiri wako. Pia utakuwa na uwezo wa kuruka usiku kwenda popote duniani. Asante mapema.
Lakini k**a bado hujakuwa tayari kujiunga, tafadhali rudisha pesa mara moja ili kuepuka kifo cha ghafla.”
Dakika tano baadaye nikapata SMS ikisema:
“Tuma 600k ingine, marafiki zangu watatu pia wako interested.” 😭😂😂

WALAI HII IMEENDA

Sai ukipatikana na pesa unapigwa hadi utuambie umetoa wapi,ukweli ni kuwa hamna pesa
21/10/2025

Sai ukipatikana na pesa unapigwa hadi utuambie umetoa wapi,ukweli ni kuwa hamna pesa

05/09/2025

Police uniforms should include maternity dresses for female police officers ~ CS Murkomen

Saturday 20th July 2024.,Football girls finalSt Joseph's girls Kitale vs Nasokol girls 9.00AM
19/07/2024

Saturday 20th July 2024.,

Football girls final

St Joseph's girls Kitale vs Nasokol girls

9.00AM

19/07/2024

SEMI FINALS VOLLEYBALL GIRLS
KESOGON GIRLS VS KABOSON GIRLS
Kesogon secondary Volleyball Academy

Hii dunia haina huruma aky😭😭😭sasa Mimi kupatwa nkiosha kuku ya jirani na maji Moto ni kitu ya kufanya nilale jela kweli?...
08/02/2024

Hii dunia haina huruma
aky😭😭😭sasa Mimi kupatwa nkiosha kuku ya jirani na maji Moto ni kitu ya kufanya nilale jela kweli??

Enwei tumwachie mungu🙏🙏

22/09/2023

B_Bila
U_Ugali
N_Na
G_Greens
O_Obvious
M_Mluhya
A_Atakufa

🤣🤣🤣🤣🤣

Madem wenzako wanatoka sleepover na shopping na wewe unarudi na panty baridi kwa handbag 🤣🤣🤣okoka tu aky
18/09/2023

Madem wenzako wanatoka sleepover na shopping na wewe unarudi na panty baridi kwa handbag 🤣🤣🤣okoka tu aky

Address

Nandi

Opening Hours

09:00 - 17:00

Telephone

+254798373715

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wicky mulamwah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share