21/05/2026
Bila nyinyi hatuwezi 😂💙. Kaptien FC ni team ya watu, nguvu ya mashabiki, marafiki na supporters wetu ndiyo hutubeba kila matchday. Hii harambee si ya viongozi pekee, ni ya kila mtu ambaye anataka kuona club ikipiga hatua na maboys wakipeperusha bendera ya Kaptien kwa second leg ya season 🔥⚽. Support kidogo tu inaweza kuwa difference kubwa kesho. One Team, One Dream… na one contribution pia 😂🙏
Chochote utaleta tutapokea bila kuchagua wala kubagua🔥🔥
Wakili Kibet Kisorio
Hon. Bernard K. Kitur
foundation
Kevin Teya