29/05/2026
Baada ya mashabiki Wa Arsenal kuteka miji, vijiji Na sehemu zote ZA burudani Sasa wakati wetu kufwata Nyayo zizo hizo kwenye ligi zetu. It's the weekend. Safari ndio hii Na tunaanza Na wewe Na mimi. Sisi ndio tuko. Support our own league CASSA FC Sunday COYC.