20/02/2026
Kuna mnyama mmoja tu kwa hii msitu, na Sunday niko SANTANA! 🦁🎙️ wale wa 'I love food' na wale wa kukimbia mbio za hasira, mko wapi? 🥘🏃♂️ Sunday at SANTANA, halftime si ya kupumzika. Tunataka kuona nani atashinda eating competition na nani ni champ wa 100m dash! Huku ball ikichezwa, mimi niko kwa mic nikichoma picha. 🎙️🔥 T&E FC vs Gatongora... don't miss the plot!