25/12/2024
🏆🏆🏆
Unakumbuka siku yako ya kwanza ukiambia dem nakupenda?
Baas! Sasa mm nlkuw class 7, hiyo time nlkuw good boy mbya...sasa kuna dem🙆tulkuw class moja, infct alkuw class prefect🙏alkuw anaitwa Betty, siwez nkamsahau🙉. Sijui hta vnye nlifall in love kwake, kana kwamba alkuw akisema on friday, "Lipua😋 and others sweep the class, roho yngu ilkuw inaenda mteja ."
Alkuw black beauty ingne hapo ya kuvutia. Mwaka ukapita😎 maze sijemshow nampenda, class 8 ikafika..yani ni ile through jokes tu unafeel enyewe😔huyu anakupenda na unampenda .ila tu hapo pa
'I LOVE YOU💓' ndio ilkuw ngori kwngu ..ilkuw sambamba👐 tu na kufungia uzi😕kwa 'the two swinging balls between men's legs😬'.
Sasa vnye tulfka class 8 mi nlkuw na ka Nokia kangu same as her😴. Sasa jioni moja nkamwomba namba, akanipea..nkajua hapa sasa ntacheza kimimi, coz niko ndani ya quarter-final tayari😋. Weh!😳 Saa mbili after kukula supper mm huyo nkaelekea chumbani mwangu kulala🤓..hiyo time yte nlkuw nachat ki friendly...nce supper nin nin..si mnaelewa?..
Saa tatu usiku😉nkiwa nmedoz nkamchatia 'kuna kitu natka kukushow' akareply mara hiyo 'haina shda nshow tu☺☺'...mm huyo nkamwandikia; 😕
"Dear Betty😍, i bambasticate this message for u..it will be my happiness if you will receive it🙏. I can't withstand my feelings no more🤐🤐.....100% i can't hide this again🙂...humbly, I LOVE YOU❤❤❤." Hiyo siku English yngu ilkuw ya🤗PLO lumumba but in real life huwa nina social distance nayo vinoma😁.
After tu kumalza kuandika,😊 message ikaingia nkasoma tu mwanzo pkee ety Dear nkajua tu ni yeye..weh nlianza kupumua mrefu..magoti yngu ikaisha nguvu✋....jasho nayo ikanitiririka🤓.mbaka nkakosa nguvu ya kusoma messo. .nkajiambia wacha nsome morning nkiwa na nguvu🙁.
Nkalala poa, wacha niamke asubuhi Satan is real💔💔...nkasoma messo👏.... Ati "dear customer you have insufficient funds to send this message, top up and try again"... kumbe ilkuw messo ya safaricom😂😂😂
Hata nlihisi kuenda choo walai😂😂😂
Follo