05/10/2023
MDZAUPATA UNO MORO
BREKING NEWS 🚨
Jana katika taasisi ya wanyama pori ilitangaza kuwa Ametokea nyoka hatari sana Ambae ajawai kutokea Duniani wanadai kuwa nyoka huyo Anaongezeka urefu 0.5cm kila Akila chakula na huwa anakula chakula kunzia sekunde 30 kurudi i nyuma mpaka sasa hakuna silaha ya kumuwa nyoka huyo isipokuwa akijiuma mwenyewe ndo anaweza kufa wana sayansi hao walieleza japo uchunguzi zaidi bado unaendelea huyu ni nyoka anae uwa kuliko nyoka wote walio wahi kutokea katika historia ya maisha ya wanadamu nyoka huyu hupatikana katika simu pekee za nokia tochi katika sehemu ya game inaitwa Snake Xenzia