SEZA FC

SEZA FC Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from SEZA FC, Sports Team, Likoni, Mombasa.

SEZA (Sports Empowerment Zone Academy) is a football team founded in 2023 with the aim of spreading the football game to the grassroots levels in Likoni while empowering the young players through education and socio-economical projects.

Match Day Photos
15/06/2024

Match Day Photos

Asante Sir. God
15/06/2024

Asante Sir. God


Mpira mzuri wenye adabu na kuburudisha unapatikana SEZAFC pekeake.Njoo uongoe swaum pale Panama International stadium 🏟 ...
14/06/2024

Mpira mzuri wenye adabu na kuburudisha unapatikana SEZAFC pekeake.
Njoo uongoe swaum pale Panama International stadium 🏟 mida ya saa tisa alasiri⚽

Asante Mungu kwa ushindi
08/06/2024

Asante Mungu kwa ushindi


Eeh Mungu tujaalie ushindi
07/06/2024

Eeh Mungu tujaalie ushindi


Eeeh Mungu tujaalie ushindi
31/05/2024

Eeeh Mungu tujaalie ushindi


K**a SEZA F.C tunatoa huduma ya matibabu ya pressure na depression sugu bila malipo kwa kukupa burudani kabambe ya kabum...
20/05/2024

K**a SEZA F.C tunatoa huduma ya matibabu ya pressure na depression sugu bila malipo kwa kukupa burudani kabambe ya kabumbu
Mapema kesho alasiri fika katika uga wa refinery uje ufurahishe macho na moyo wako ukiwashuhudia vijana wa SEZA F.C wakiwafundisha maana halisi ya mpira vijana wa MAGONGO RANGERS.
Njoo uthabbbaassam
Whatsapp fan page link: https://chat.whatsapp.com/L7DnlLt7gJXFEre4PvWxW9


18/05/2024

Usimtoe dadako anakofurahia ilhali huezi mpa hio furaha


Ile siku biggy imefika Siku ya sungura kumla ndovu vijana wa F.C SEZA wako tayari kuwakabili mahasimu wao wa vimbwanga f...
18/05/2024

Ile siku biggy imefika
Siku ya sungura kumla ndovu vijana wa F.C SEZA wako tayari kuwakabili mahasimu wao wa vimbwanga f.c katika final ya MISHI MBOKO MFUNGO CUP.
Siku ni kesho fika utabbaaassaam

Fundi kazini Muite kwa jina la ufundi   Yule player wa kwanza duniani kufunga ndoa na neti SEZA F.C
16/05/2024

Fundi kazini
Muite kwa jina la ufundi
Yule player wa kwanza duniani kufunga ndoa na neti
SEZA F.C

Address

Likoni
Mombasa
80100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SEZA FC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SEZA FC:

Share