Bandari Youth FC.

Bandari Youth FC. The official page for Bandari FC Youth team
(1)

Terminators...     Kenya Ports Authority Bandari Football Club
04/06/2026

Terminators...


Kenya Ports Authority
Bandari Football Club

πŠπˆπ” 𝐍𝐈 πŠπˆπ“π” πŠπˆππ€π˜π€Tumetuma parcel ya mitungi kwanza ndugu zetu F.c dynamo   wasombe maji yakuoga na kunywa  baada ya mec...
03/06/2026

πŠπˆπ” 𝐍𝐈 πŠπˆπ“π” πŠπˆππ€π˜π€

Tumetuma parcel ya mitungi kwanza ndugu zetu F.c dynamo wasombe maji yakuoga na kunywa baada ya mechi,hiyo vumbi kwa hiyo kiwanja wanaita stadium ni aibu.
We know getting 20ltrs of water in Kitui you need barua ya chief Muteti.

πŸ† DHUL HIJJAH SUPERCUP CHAMPIONS – BANDARI YOUTH FCTumetwaa ubingwa wa Dhul Hijjah Supercup kwa mafanikio makubwa baada ...
02/06/2026

πŸ† DHUL HIJJAH SUPERCUP CHAMPIONS – BANDARI YOUTH FC

Tumetwaa ubingwa wa Dhul Hijjah Supercup kwa mafanikio makubwa baada ya kuonesha kiwango cha juu kabisa uwanjani! πŸ”₯

Katika fainali, tuliibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya South Coast

⭐ Top Scorer wa mashindano: Caleb
⭐ Man of the Match: Chaka

πŸ’° Tumezawadiwa KSh 50,000 k**a mabingwa wa mashindano haya

Asanteni mashabiki kwa sapoti yenu isiyoyumba

SECOND HALF GALLERY
31/05/2026

SECOND HALF GALLERY

𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„Tumepoteza nyumbaniBandari Youth FC. 1 - 4 Police YOUTH
31/05/2026

𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„

Tumepoteza nyumbani

Bandari Youth FC. 1 - 4 Police YOUTH

31/05/2026

Kitumbua kinaingia mchanga wanapata bao la nne.

The fight is on.

62 ' Bandari Youth FC. 1 - 4 Police YOUTH

31/05/2026

Wanavuna goli la tatu kupitia own goal

57' || Bandari Youth FC. 1 - 3 Police YOUTH

31/05/2026

Mpira unaanza na wageni wanapata bao la pili.

46 ' || Bandari Youth FC. 1 - 2 Police YOUTH

FIRST HALF GALLERYBandari Youth FC. 1-1 Police YOUTH
31/05/2026

FIRST HALF GALLERY

Bandari Youth FC. 1-1 Police YOUTH

Bandari Youth FC. 1 - 1 Police YOUTH Neno moja kutoka kwa kocha alafu turudi
31/05/2026

Bandari Youth FC. 1 - 1 Police YOUTH

Neno moja kutoka kwa kocha alafu turudi

Address

Mombasa
80100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bandari Youth FC. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bandari Youth FC.:

Share

Category