15/08/2026
Ni rasmi viungo wa kati Hassan Kizianda (Azzam United) na Ahmed Ramadhan 'Shaw' (Nyundo FC) watakuwa sehemu ya kikosi cha SISI NI DOLA CUP Select kitakachosafiri kwenda Nairobi kwa ajili ya mechi za kirafiki.
Sponsored by DOLA