Abakuria

Abakuria This page is dedicated to sharing news, updates, and stories that matter to the Kuria community. Welcome to the official page of Kegonga Football Club.

Join us as we celebrate our culture, discuss important issues, and keep everyone informed about local events and developments. Kegonga FC is a community Soccer Club based in Kuria East, Migori County. We aim to shape the lives of young individuals within our community through Physical and Mental well-being, and character building. Keep following our Page ๐Ÿ‘

Moses Masiaga Murimi the incoming Kuria West MP 2027
23/08/2026

Moses Masiaga Murimi the incoming Kuria West MP 2027

Mama Monica pale Gwitembe. Ground inasemaje watu wa Kuria East โœŠ
17/08/2026

Mama Monica pale Gwitembe. Ground inasemaje watu wa Kuria East โœŠ

Gen Z ameweka bunduki chini ili apige picha kwanza ๐Ÿ˜…
15/08/2026

Gen Z ameweka bunduki chini ili apige picha kwanza ๐Ÿ˜…

Huyu mjamaa alikuwa akisafirisha nyasi za ngโ€™ombe, kumbe ndani ya hizo nyasi alikuwa ameficha bangi. Leo polisi wamemk**...
15/08/2026

Huyu mjamaa alikuwa akisafirisha nyasi za ngโ€™ombe, kumbe ndani ya hizo nyasi alikuwa ameficha bangi. Leo polisi wamemk**ata pamoja na pikipiki aliyokuwa akitumia kusafirisha mzigo huo. Waah, hawa polisi wako na pua ndefu aje? Yaani wanaweza kunusa bangi kutoka mbali hivyo! Ama hii ni set up? Hapa kuna msaliti ama? ๐Ÿค”

Hivi ndivyo hali ilivyo kwa sasa - Migori bridge
11/08/2026

Hivi ndivyo hali ilivyo kwa sasa - Migori bridge

Hii story ya Koromangucha - Kuria East inaudhi Sana.  Kijana aliamua kupeleka babake sayuni kwa mzozo wa ardhi. Huyo mar...
10/08/2026

Hii story ya Koromangucha - Kuria East inaudhi Sana. Kijana aliamua kupeleka babake sayuni kwa mzozo wa ardhi.

Huyo marehemu anaitwa Barante Mogesi. Inasemekana Mzee Barante mogesi alishambuliwa asubuhi akiwa shambani na kupata majeraha makubwa, ikiwemo shingoni, kabla ya baadaye kufariki.

Tukio hilo limewaacha wakazi katika hali ya mshtuko na majonzi. Polisi wameanzisha uchunguzi kubaini chanzo na mazingira ya kifo hicho. Inadaiwa kuwa mshukiwa mkuu bado hajapatikana.

Mungu ailaze roho ya Mzee Barante Mogesi mahali pema peponi. Pole kwa familia, ndugu, jamaa na wakazi wote wa Koromangucha kwa msiba huu mzito๐Ÿ™

Hata k**a mtu ni wa tutam, lazima asalimiwe namna hii kweli?. Huyu jamaa alisema tutam akapewa kichapo k**a burukenge.
09/08/2026

Hata k**a mtu ni wa tutam, lazima asalimiwe namna hii kweli?. Huyu jamaa alisema tutam akapewa kichapo k**a burukenge.

Ajali za barabarani kila siku. This is around Masaba area.
06/08/2026

Ajali za barabarani kila siku. This is around Masaba area.

Nyamutiro Boarding Primary school - Kuria East ๐Ÿ‘๐Ÿ‘
03/08/2026

Nyamutiro Boarding Primary school - Kuria East ๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Kijana ya Okoth Obado, amelazwa hospitalini baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani alipokuwa akisafiri kutoka Nair...
02/08/2026

Kijana ya Okoth Obado, amelazwa hospitalini baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani alipokuwa akisafiri kutoka Nairobi kuelekea Migori akiwa anaendesha gari aina ya Lexus LX 600 linalokadiriwa kugharimu Shilingi milioni 18. Tumuombee afueni ya haraka ๐Ÿ™

Address

P. O BOX
Migori
1

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abakuria posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share