06/05/2023
𝐊𝐔𝐌𝐄𝐊𝐔𝐂𝐇𝐀 🙌🏾
⚽️🏅FAINALI ♨️💥 12:00 mchana
Vs Iimbani
Siku ya Burdaaan imefika! Weekend Special, burudani bila malipo 🤝🏾. Tunatarajia kukuona na jamii yako yote hapa Kwangolya pri stadi 💯.
Iwapo hii wiki umeteswa na timu za nchi zingine, njoo upate faraja 😄, sometimes jipende, ipe nafsi yako raha leo.
family