03/09/2026
FKF COUNTY LEAGUE POOL C
⛔ WESTFIELD 🆚EKA FC
📅 Saturday, 5th Sept 2026
🕒 1500 HRS
📍 KIDIMU GROUND
Baada yakumaliza mchezo wetu wa jana dhidi ya Wasini United na kuibuka na ushindi tukiwa nyumbani miracle stadium,Tunasema haina kupumzka haina kupoa,weekend hii tutakuwa pale maeneo ya kidimu kuwakabili Westfield FC
🇰🇪