Jay wa nyanya1

Jay wa nyanya1 | BARBER(Kinyozi) 💎
| Liverpool fan page🥇| Always Liverpool | Baba Najma (31 -08 -2023) 🍼 | Najma juma (2 yrs old) | Call +254 727 038 173
(2)

▪️LIVERPOOL YASITISHA MAZUNGUMZO YA BARCOLA 💣▪️Liverpool imesitisha kwa muda harakati zake za kumsajili Bradley Barcola ...
15/08/2026

▪️LIVERPOOL YASITISHA MAZUNGUMZO YA BARCOLA 💣

▪️Liverpool imesitisha kwa muda harakati zake za kumsajili Bradley Barcola baada ya kushindwa kufikia makubaliano na PSG kuhusu ada ya uhamisho....✍️

▪️Liverpool wanapanga kurejea kwenye mazungumzo katika siku 10 za mwisho za dirisha la usajili, wakitumaini PSG itapunguza bei yake kutokana na presha ya muda kuelekea mwisho wa dirisha....✍️

(Chanzo: L’Équipe)


▪️DONE DEAL 💣▪️Calum Scanlon amesaini mkataba mpya na Liverpool na atatumia msimu huu kwa mkopo katika Cardiff City....✍...
15/08/2026

▪️DONE DEAL 💣

▪️Calum Scanlon amesaini mkataba mpya na Liverpool na atatumia msimu huu kwa mkopo katika Cardiff City....✍️

▪️Itakuwa mara yake ya pili kucheza katika jiji la Cardiff, baada ya kujiunga na klabu hiyo katika kipindi cha pili cha msimu uliopita....✍️


▪️TARAJIA MWISHO WA DIRISHA LA USAJILI KUWA NA SHUGHULI NYINGI ANFIELD 💣▪️Kwa sasa, Liverpool wana wachezaji 31 wakubwa ...
15/08/2026

▪️TARAJIA MWISHO WA DIRISHA LA USAJILI KUWA NA SHUGHULI NYINGI ANFIELD 💣

▪️Kwa sasa, Liverpool wana wachezaji 31 wakubwa wenye umri wa zaidi ya miaka 21, baada ya Ronald Araújo kuchukua nafasi ya 17 na ya mwisho ya mchezaji asiye wa nyumbani (non-homegrown)

▪️Lakini Liverpool wanaruhusiwa kusajili wachezaji 25 pekee, zaidi ya hapo Jeremy Jacquet na Giovanni Leoni hawastahili kuingia kwenye List B ya Champions League, hivyo Liverpool wanahitaji kutengeneza nafasi angalau mbili zaidi, na hii ni kabla hata hawajajaribu kumsajili mchezaji mwingine....✍️

▪️Hivyo, iwe ni kuwaacha baadhi ya wachezaji nje ya orodha au kuwaondoa klabuni, angalau wachezaji 9 wanahitaji kuondoka yaani kutolewa kwenye usajili ikiwa Liverpool wanataka kusajili mchezaji mwingine....✍️

▪️Kwahio ndugu zangu huu mwisho wa dirisha la usajili unaweza kuwa na presha kubwa sana Anfield....✍️


▪️Tottenham Hotspur wameanzisha mawasiliano ya moja kwa moja na Liverpool huku wakiongeza juhudi za kumsajili Cody Gakpo...
14/08/2026

▪️Tottenham Hotspur wameanzisha mawasiliano ya moja kwa moja na Liverpool huku wakiongeza juhudi za kumsajili Cody Gakpo....✍️

▪️Spurs pia wanafanya mazungumzo ya juu zaidi kuhusu Gakpo, ingawa kambi ya mchezaji huyo imesema hakuna makubaliano yaliyofikiwa bado....✍️

▪️Winga huyo wa Liverpool anasemekana kufikiria kwa umakini uwezekano wa kujiunga na Tottenham....✍️

(Chanzo: Florian Plettenberg)


▪️DONE DEAL 💣▪️Dili la Darwin Nunez kujiunga na Trabzospor limekamilika, tayari klabu zote zimefikia makubaliano ya kums...
14/08/2026

▪️DONE DEAL 💣

▪️Dili la Darwin Nunez kujiunga na Trabzospor limekamilika, tayari klabu zote zimefikia makubaliano ya kumsajili Nunez kwa mkopo wa msimu mmoja....✍️

▪️Nunez atasafiri kesho kuelekea Turkey ili kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na klabu hio ya Trabzospor....✍️

(Chanzo: Sacha Tavolieri)


▪️Dili la Bradley Barcola linazidi kusogea,  mchezaji huyo yuko tayari kujiunga na Liverpool kutoka PSG kwa ada ya €125M...
14/08/2026

▪️Dili la Bradley Barcola linazidi kusogea, mchezaji huyo yuko tayari kujiunga na Liverpool kutoka PSG kwa ada ya €125M....✍️

▪️Liverpool wapo karibu sana kukamilisha dili hilo la kumsajili winga huyo wa PSG....✍️

▪️Barcola anatarajiwa kusaini mkataba hadi mwaka 2032....✍️

(Chanzo: Nicolo Schira)


▪️Trabzonspor imefikia makubaliano na Darwin Núñez....✍️▪️Mazungumzo kati ya Trabzonspor na Al-Hilal yanaendelea ili kuk...
14/08/2026

▪️Trabzonspor imefikia makubaliano na Darwin Núñez....✍️

▪️Mazungumzo kati ya Trabzonspor na Al-Hilal yanaendelea ili kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji huyo wa Uruguay....✍️

▪️Darwin Núñez yuko hatua za mwisho kujiunga na Trabzonspor....✍️


▪️Liverpool wanaweza kuongeza mawinga WAWILI kwenye kikosi, hasa iwapo Cody Gakpo ataishia kujiunga na Tottenham....✍️Di...
13/08/2026

▪️Liverpool wanaweza kuongeza mawinga WAWILI kwenye kikosi, hasa iwapo Cody Gakpo ataishia kujiunga na Tottenham....✍️

Dili la Bradley Barcola bado liko hai, huku mazungumzo yakiendelea kati ya Liverpool na PSG. Liverpool pia wako tayari kuongeza winga mwingine mmoja....✍️

▪️Ibrahima Mbaye pia yupo kwenye orodha ya Liverpool, lakini kwa sasa bei yake inaonekana kuwa kubwa sana....✍️


▪️MO SALAH NA NUNEZ KUUNGANA TENA 💣▪️Kwa mujibu wa ripoti kutoka Uturuki ni kuwa Darwin Núñez amekubaliana masharti bina...
13/08/2026

▪️MO SALAH NA NUNEZ KUUNGANA TENA 💣

▪️Kwa mujibu wa ripoti kutoka Uturuki ni kuwa Darwin Núñez amekubaliana masharti binafsi na Trabzonspor na yupo tayari kujiunga na klabu hiyo....✍️


▪️Pale kwenye klabu yetu ya Trabzospor msimu huu mambo yanaenda kuwa moto sana....✍️▪️Mlinda lango yupo Onana, winga kul...
13/08/2026

▪️Pale kwenye klabu yetu ya Trabzospor msimu huu mambo yanaenda kuwa moto sana....✍️

▪️Mlinda lango yupo Onana, winga kulia yupo zake Mfalme Mo alafu pale namba tisa yupo katili mwenyewe Darwin Nunez mzee wa kuchomeka migoli tu....✍️

▪️Msimu ukianza mniache maana wachezaji wangu pendwa wote wapo Trabzospor kwahio mimi huyooooo na tukicheza na nyinyi tutawafunza adabu 😏 Hatuwaogopi....✍️


Address

Mombasa
Kaloleni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jay wa nyanya1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share