19/02/2024
SASA kuna siku nlipanda hii gari kutoka SIRISIA 😹, nikirudi Nairobi 😠 kufika chimoi mama flani pia akaingia na akaketi karibu na mimi kukosea zaidi alikua mama mkwe wangu na mimi sjui buana ju wife yangu alikua amebaki nairobi so aliita mama yake ju mimi siko aende kumtembelea huko 🤣🤣 kumbuka nairobi tulikua tunaishi kibra keja za mabati tena single room 😂🤣🙄.
So safari ilikua poa kufika turbo Mimi na uluhya yangu kukula ajabu nikanunua soda kubwa, mkate youghut viazi choma biscuits kutoka hapo nilikua nakula hizo vitu kufika eld nimemaliza tena nikanunua chips ule mama alikua ananiangalia hivi 🫤😠🫤, adi akaniuliza kijana na wewe c utakula watoto utaoa kweli. Nikamjibu yes Niko na Bibi na watoto Tatu 🤤🤣.
Kwa Ile harakati ule mama akapigiwa simu na msichana yake ambaye ni Bibi yangu na Mimi bado sjajua 😹. Akamuuliza mmefika wapi kumbe mama Hajawai fika nairobi akaniuliza hapa ni wapi nikamwambia tuko ngata tunaingia Nakuru 🤣 tukaendelea na Safari manze sjui huyu mama anaenda Kwangu Mimi nikukula Tu vitu Kwa gari huyu mama ndio anashanga tu 🤤😹🌝.sasa Tukikaribia kufika nairobi kumbe simu ya yule mama ilizima na alikua ameandika namba kwa karatasi akanipea Ile namba ngaweka Kwa simu yangu 🙈😅 naona inaleta jina ya Bibi yangu Janet aii 🙈☹️🤣, nilimwangalia hivi 🫤 🙄.nikasema hi namba ni mteja 😭 , tena akaleta ingine ya Airtel ilibidi nipige na private 😹🫤, nikaongea na base wee kujia mama yako Kwa stage na nikakata simu 😢😢