Maphy updates

Maphy updates www. Maphy amuse. com

NDO BASI TENA😀
10/09/2025

NDO BASI TENA😀

NI NOMAA 😳👇Nchini marekani katika misitu ya mississipi, katikati ya misitu hiyo kuna nyumba aina ya Cabini inayo tumika ...
30/04/2024

NI NOMAA 😳👇

Nchini marekani katika misitu ya mississipi, katikati ya misitu hiyo kuna nyumba aina ya Cabini inayo tumika kwa mashindano ya uthubutu/ ujasiri.

Hii nyumba ilijengwa kwa ajili ya kupima uthubutu / uimara wa mtu, haswa katika matukio mbalimbali.

Toka kipindi hicho mpaka sasa imekuwa ikitumika k**a sehemu ya challenge.

Katika hayo mashindano, huwa anachukuliwa mtu alie tayari kwa shindano .

Mtu huyo anapelekwa huko na kuachwa akiwa pekeake, na inambidi aishi huko kwa muda wa mwezi .

Anapewa mahitaji yote , ambayo yata msaidia kwa kipindi hicho atakacho kuwa huko.
Lakini masharti , huko hautakuwa na simu, hakuna internet, radio,Tv, wala mtu yeyote mfano rafiki n.k.

Mtu anaishi pekeake huko kwa mda huo , na akifanikisha anazawadiwa dola za kimarekan $100000, sawa na Tzsh milion 220.

Hata hivyo waliofanikisha ni wachache ,wengi wali shindwa na kutoroka, wengine kupotea hata kufa .. Shindano hilo linafanywa kila mwaka ,wangapi wangeweza??

MWISHO.
Maphy updates
,,, like , comment & follow

Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege.Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezw...
22/04/2024

Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege.
Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao.
Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka.
Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu.

Kuna mtu alimuuliza, "kwanini hauhangaiki kushuka kwenye ndege k**a wenzako?"
Profesa akajibu kwa kujiamini,
"Ni wanafunzi wangu waliunda hii ndege".
Akaulizwa tena, "Kwahiyo una uhakika uliwafundisha vizuri? Profesa alijibu;
"K**a ni wanafunzi wangu, Nina uhakika haitopaa.."
🤗🤗
Maphy updates

Bashar al-Assad[a][b] (born 11 September 1965) is a Syrian politician who is the current and 19th president of Syria sin...
09/04/2024

Bashar al-Assad[a][b] (born 11 September 1965) is a Syrian politician who is the current and 19th president of Syria since 17 July 2000. In addition, he is the commander-in-chief of the Syrian Armed Forces and the secretary-general of the Central Command of the Arab Socialist Ba'ath Party, which nominally espouses a neo-Ba'athist ideology. His father and predecessor was General Hafiz al-Assad, whose presidency in 1971–2000 marked the transfiguration of Syria from a republican state into a de facto dynastic dictatorship, tightly controlled by an Alawite-dominated elite composed of the armed forces and the Mukhabarat (secret services), who are loyal to the al-Assad family.
Maphy updates

Adolf Hi**er (Braunau, Austria, 20 Aprili 1889; Berlin, Ujerumani, 30 Aprili 1945) alikuwa dikteta wa Ujerumani kuanzia ...
09/04/2024

Adolf Hi**er (Braunau, Austria, 20 Aprili 1889; Berlin, Ujerumani, 30 Aprili 1945) alikuwa dikteta wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi kifo chake.

Hi**er, 1937
Alihutubia dharau na chuki ya kimbari dhidi ya watu wote wasio Wagermanik na hasa dhidi ya Wayahudi. Alisababisha Vita Kuu ya Pili ya Dunia na mateso ya watu milioni kadhaa. Akitangaza shabaha ya Ujerumani Mkubwa alisababisha kushindwa na kugawiwa kwa taifa lake pamoja na kupotewa na maeneo makubwa, hasa upande wa mashariki.@
Maphy updates

住所

Singida
Hyuga-shi, Miyazaki

営業時間

月曜日 09:00 - 17:00
火曜日 09:00 - 17:00
水曜日 09:00 - 17:00
木曜日 09:00 - 17:00
金曜日 09:00 - 17:00
土曜日 09:00 - 17:00

電話番号

+255782679001

ウェブサイト

アラート

Maphy updatesがニュースとプロモを投稿した時に最初に知って当社にメールを送信する最初の人になりましょう。あなたのメールアドレスはその他の目的には使用されず、いつでもサブスクリプションを解除することができます。

事業に問い合わせをする

Maphy updatesにメッセージを送信:

共有する

カテゴリー