Sport tz Michezo na Burudani

tare 4 Morocco vz Taifa starts Yapi maoni yako je tutatobowa🥱
30/12/2025

tare 4

Morocco vz Taifa starts

Yapi maoni yako je tutatobowa🥱

 : Hongera Tanzania kwa kutinga hatua ya 16 bora kwenye fainali za  FT: Tanzania 1-1 Tunisia Saa 4:00 usiku ni Benin dhi...
30/12/2025

: Hongera Tanzania kwa kutinga hatua ya 16 bora kwenye fainali za

FT: Tanzania 1-1 Tunisia

Saa 4:00 usiku ni Benin dhidi ya Senegal na Botswana dhidi ya DR Congo.

Huyu ni kabila gani
27/12/2025

Huyu ni kabila gani

😘😘
27/12/2025

😘😘

09/04/2025

Simba anaenda kufyeka kichaka ambacho Yanga wamekuwa wakijivunia kwa Siku za karibuni CAF Confederation Cup.

Simba anaenda fainali katika michuano hii ambayo baada ya msimu huu haitakuwepo tena .

Yanga walifika fainali hawakutwaa taji lakini Hadi leo wanatamba na medali za fainali ....Siku zote kwenye Soka mafanikio ni Ubingwa tuu hakuna mshindi wa pili Wala Nini k**a ukipoteza fainali wewe ni Nothing.

Tangu mwanzo wa msimu huu niliwambia hapa Simba hakuna wa kumzuia kwenda fainali CAF Confederation Cup na kubeba kombe hili si RS Berkane wale USM Alger.

👉SIMBA ANAENDA FAINALI MSIMU HUU KATIKA MICHUANO YA CAF CONFEDERATION CUP NARUDIA TENA KOMBE LA CAF TANZANIA LITATELETWA NA BABA WA SOKA LA BONGO SIMBA TUUU WENGINE WASINDIKIZAJI TUU.

The Special One Edna Lema kazini 🤩🤩
06/04/2025

The Special One Edna Lema kazini 🤩🤩


🚨 Klabu ya Simba SC inaamini mchezo wake na Al Masry wapo watu ambao wamekunja nafsi zao sasa ili kuondoa hilo katika mc...
06/04/2025

🚨 Klabu ya Simba SC inaamini mchezo wake na Al Masry wapo watu ambao wamekunja nafsi zao sasa ili kuondoa hilo katika mchezo huo wamempa mualiko maalumu Mtumishi wa Mungu, Mtume Boniface Mwamposa (Buldoza) kuwa sehemu ya mchezo huo wa kufuzu hatua ya Nusu Fainali Aprili 9, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

“Safari hii tumedhamiria Ubaya Ubwela na tunamualika kila mtu mwenye mchango mkubwa kwenye jamii hii, wacahwi wengi ndugu zangu, kuna watu wamekunja nafsi kwelikweli. Kwa mantiki hiyo namtangaza mgeni mwingine maalumu Mtume Boniface Mwamposa (Buldoza). Tunafanya mazungumzo naye pia ikiwezekana kesho tukawauzie waumini wake tiketi.”-

-Amesema Semaji Ahmed Ally akiongea na Wanasimba wa Ukonga Mazizini.

Kocha Edna Lema amefika kwenye mazoezi ya kikosi cha kwanza hapa KMC Complex na kupokelewa na Kocha Mkuu Miloud Hamdi
06/04/2025

Kocha Edna Lema amefika kwenye mazoezi ya kikosi cha kwanza hapa KMC Complex na kupokelewa na Kocha Mkuu Miloud Hamdi

Leo hii  ndio mwisho wa uchungu wako😭😭😭Mungu akubadilishie Historia               TBCTBConlineYoung Africans Sports Club...
04/04/2025

Leo hii ndio mwisho wa uchungu wako😭😭😭Mungu akubadilishie Historia TBCTBConlineYoung Africans Sports ClubnTan footballhEthiopian AirlinesgLigi KuuoSport tz

Katikati ya kinachoitwa Utimamu mkubwa wa Orlando Pirates kuna huyu mtu! Alishawahi kuwepo nchini akiisaidia Yanga kufik...
04/04/2025

Katikati ya kinachoitwa Utimamu mkubwa wa Orlando Pirates kuna huyu mtu! Alishawahi kuwepo nchini akiisaidia Yanga kufika fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika!

Ni mtu sana huyu kwenye eneo lake✅

Mnamkumbuka!?

Adresse

Young Africa ��
Kinshasa

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Sport tz publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager