20/05/2026
Kila siku nawaambia Wananchi mnatakiwa mjipongeze sana kwa kuwa watu wa soka na hili ndio linafanya mnaendelea kuwa timu tushio hapa nchini.
Ni kwa sababu mashabiki wa Yanga ni watu wa soka na kwa hakika tunastahili pongezi. Watu wa soka wanajuwa kutofautisha mapenzi na mpira.
Wapo wachambuzi wengi ni mashabiki wa Yanga, wapo watangazaji wengi ni mashabiki wa Yanga, wapo viongozi wengi wa nchi na mpira ni mashabiki wa Yanga lakini ni watu wanaojielewa na wanajuwa football ni nini na wanajuwa kutofautisha kati ya mapenzi na timu na majukumu walopewa.
Kitu kinachowasumbua wenzetu wa WACHAWI FC ni kutokujielewa na sio watu wa football. Pia ni watu wasiojielewa na hawawezi kutofautisha kati ya mapenzi na timu yao na kazi wanazopewa.
Ni ngumu sana kiongozi ambaye ni shabiki wa Yanga kuona akiipendelea Yanga au kumuona mtangazaji ambaye ni shabiki wa Yanga akiongea uongo kuhusu wachawi fc. Kwa sababu mashabiki wa Yanga wanajielewa.
Sasa hivi waziri wa michezo ni mtu wao, naibu mtu wao π
π
π
π
π
π
ni wiki ilopita mliona timu haijulikani kiongozi ni nani, timu haina makao makuu, timu haijabeba kombe lolote mwaka wa tano huu lakini cha ajabu ndio tibu bora π
π
π
π
we hushangai π
π
π
π
Na leo tena wamerudia yale yale jambo la kitaifa wameleta ushabiki cha ajabu wameua hata lile lengo lilomleta huyo mgeniπ
π
π
π
Kuna siku niliwaambia viongozi bora wa nchi hii ni mashabiki wa Yanga tuu. π
π
π
π
π
π
Wananchi tujiandae kuona ujinga mwingi maana wao mashabiki wao ndio wameshika wizara. ujinga mwingi utafanyika π
π
π
π
uzuri wataumbuka tuu. Wametumia pesa nyingi alafu yamebuma π
π
π
π
π
π
π
SISI NDIO YANGA π°ππ’π