SPORT PLUS CCIB FM+

SPORT PLUS CCIB FM+ Diffusion de l'information sportive

31/08/2021
03/08/2021


Nchi ya Rwanda inajaribu kudhibiti mlipuko wa tatu (3) wa gonjwa la corona (COVID-19).
Katika wiki za hivi karibuni, Rwanda imerikodi kati ya kesi mia tano (500) na elfu moja (1,000) za kila siku, takwimu ambazo hazijawahi kufikiwa.
Hii ilisababisha serekali kutangaza katikati ya mwezi Julai marufuku kwa mara ya tatu (3) ya watu kutotembea tangu kuzuka kwa janga hilo nchini humo.

02/07/2021


Spain 🇪🇸 ✅
Matokeo

SWITZERLAND vs. SPAIN FULL-Time 1-1 [1-3] penalti

11/06/2021


Vital’o FC yapokonywa kocha ghafla.
Club ya Bumamuru FC ya mkoani Cibitoke, yajikuta mikononi mwa aliyekua kocha wa timu ya taifa Intamba Murugamba kocha Alain Olivier Niyungeko. Niyungeko amechukua mikoba mipya na kuiacha club ya Vital’o FC kwenye mataa, ili kuiwezesha club Bumamuru FC katika michuano ya Mabingwa Afrika (CAF) baada ya club hiyo kujipatia ushindi katika fainali za kombe la rais nchini Burundi.
Je, Alain Olivier Niyungeko atakua nalo jipya kwa vijana wa club ya Bumamuru FC?

16/02/2021
12/01/2021

Urukino urukino rudasanzwe rugiye guhuza abamenyeshamakuru hamwe n'abacomediens ( vs ) ni kuri uyu wa gatanu igenekerezo rya 15 nzero 2021.



06/01/2021




Inyuma yakaruhuko ihiganwa ryarimwo kibera ukurangiza igice ca mbere. (phase aller) c'ihiganwa, ubu ryongeye kugaruka mugice ca kabiri munkino zo gusubiriza. (phase retour).
Ikirangamisi camaze kuja ahabona uko imigwi igiye guhura ku ndwi igira 16

15/12/2020




Le stade de est désormais fermé suite aux incindets survenus lors du match oppasant et du Centre où les journalistes ont été maltraités, même le public du Flambeau du centre, jet des pierres au stade qui ont donné des blessés.

Address

Kabondo
Bujumbura

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SPORT PLUS CCIB FM+ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SPORT PLUS CCIB FM+:

Share