Issa motivation

Issa motivation Welcome to issa motivation we provide motivation,life advice, sport,and entrainment to inspire and uplift young people and community

21/08/2026

� NEW VISION FILMS part 2

EVERY STORY HAS A SECRET.
EVERY MOMENT HAS A MEANING.
EVERY EMOTION DESERVES TO BE FELT.

� MOVIES • SERIES • SHORT FILMS • DRAMA • LOVE • ACTION • ENTERTAINMENT

WE CAPTURE MOMENTS.
YOU EXPERIENCE EMOTIONS.

� FOLLOW NEW VISION FILMS
YOUR STORY. OUR VISION. ONE SCREEN.

03/08/2026

tuna wa ombeni support zenu kwa kukuza vipaji vya wandugu zetu msikose ku like share comment and following asanteni sana����

05/07/2026

K**a umevunjika moyo jaribu kusikiliza haya maneno 🙏🙏

Mtangazaji wa eastafrica radio akiwa ndani ya kipindi cha the planet bongo amedai kwau rapa young lunya mbuzi kuwa ame f...
30/06/2026

Mtangazaji wa eastafrica radio akiwa ndani ya kipindi cha the planet bongo amedai kwau rapa young lunya mbuzi kuwa ame funikwa na msanii Harmonize kwenye collabo yao ya wimbo wa mkuu wa majeshi.

""nimekuja kugundua kuwa verse la harmonize kali kuliko hata la young lunya lakini pia lunya anakuwa ndo msanii wa kwanza kumfanya harmonize amechana kwasababu harmonize hii ni ngoma yake ya pili yeye kuchana na goma la kwanza ilikuwa ni kwenye remix ya serekali kuu,unajuwa kuna ile ukisikia wimbo wa lunya na msanii mbana pua una elewa kuwa kuna namna hatochana atashika kitikio,lakini kiitikio lunya kashika chorus mwenyewe alafu verse kashika konde mwenyewe na konde ame mkalisha mbuzi"" amesema Rich msafi

Toa maoni yako

RAIS WA ZIMBABWE 🇿🇼 Dr Emerson Mnagangwa ametangaza mambo kadhaa kuhusu Raia wa Nchi hiyo wanaorejea Nyumbani kutoka Afr...
30/06/2026

RAIS WA ZIMBABWE 🇿🇼 Dr Emerson Mnagangwa ametangaza mambo kadhaa kuhusu Raia wa Nchi hiyo wanaorejea Nyumbani kutoka Afrika Kusini.

1- Kwa wenye mitaji ya biashara hawatotozwa Kodi yoyote kuendesha biashara zao katika nchi yao ili kufidia hasara waliyopata.

2- Shule zote nchini humo na taasisi za Elimu ziwapokee Vijana wao wote kwenye mfumo wa Elimu ili waendelee na masomo yao ambao walikuwa wanasoma huko Afrika Kusini.

3- Kwa wanaorejea na hawana Nyumba wala Makazi basi Serikali imeandaa Makazi maalum kwa ajili ya Raia wake hao nchini mwao ili maisha yaendelee.

4- Wameanza mchakato maalum wa Kitaifa kuwatafutia na kuwakutanisha na Ndugu zao kwa waliopotezana.

Zimbabwe 🇿🇼 tayari imetuma usafiri kurejesha Raia wake wote, Raia wameshasogea eneo la Ubalozi.

27/06/2026

Address

UAE
Hatta
HORALANZDEIRA,ABOUKHERI

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Issa motivation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share